• HABARI MPYA

  Monday, January 18, 2016

  YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0
  Beki wa Yanga SC, Juma Abdul (kulia) akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Ndanda FC
  Beki wa Ndanda FC, Salvatory Ntebe akiondoka na mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe
  Winga wa Yanga SC, Deus Kaseke akiwatoka wachezaji wa Ndanda FC jana Uwanja wa Taifa
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Ndanda FC
  Beki wa Yanga SC, Vincent Bossou (kushoto) akiudhibiti mpira baada ya mshambuliaji wa Ndanda FC, Atupele Green kuanguka. Kulia ni kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top