• HABARI MPYA

    Sunday, January 17, 2016

    SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mtibwa Suhar, Shiza Kichuya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni kiungo wa Simbab SC iliyoshinda 1-0, Jonas Mkude
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Muzamil Yassin akimtoka kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi
    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akijivuta kupiga shuti katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary
    Peter Mwalyanzi wa Simba SC (kulia) akiwania mpira dhidi ya Muzamil Yassin wa Mtibwa Sugar
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya akimtoka kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top