• HABARI MPYA

  Monday, January 11, 2016

  KOCHA WA SIMBA SC ALIVYOMSAIDIA MLEMAVU HUYU JANA AMAAN!

  Kocha Mkuu wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr (kulia) akizungumza na mlemavu kumuambia amuhamishie mbele kabla ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana baina ya timu yake na Mtibwa Sugar Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mtibwa Sugar ilishinda 1-0 na kwenda fainali, ambayo watacheza na URA ya Uganda iliyoitoa Yanga SC jana pia.
  Kerr akimpeleka nafasi ya mbele mlemavu huyo ili aweze kuuona mchezo huo vizuri
  Kerr aliisukuma baiskeli ya mlemavu huyo hadi eneo la mbele aweze kushuhudia vyema mchezo huo
  Akamfikisha na kuagana naye akimtakia atazame vyema mchezo huo ambao mwishowe ulikuwa wa maumivu kwa timu yake
  Alimpanga karibu na mlemavu mwingine shabiki wa mahasimu, Yanga SC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA SIMBA SC ALIVYOMSAIDIA MLEMAVU HUYU JANA AMAAN! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top