Mchezaji aliyetokea benchi kipindi cha pili, Ruben Loftus-Cheek (kushoto) akitelezea magoti kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dhidi ya Scunthorpe katika mchezo wa Kombe la FA jana Uwanja wa Staamford Bridge. Chelsea ilishinda 2-0, bao linginee likifungwa na Diego Costa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Target red-hot Ekitike and Semenyo - FPL team of the week
-
With Manchester City facing struggling West Ham at home this week, it's
time to triple up on Pep Guardiola's side and captain Mr Reliable Erling
Haaland.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment