• HABARI MPYA

  Monday, January 11, 2016

  JERRY MURO NA HAJI MANARA NINI TENA HAPAA!

  Wakuu wa Idara za Habari za Mawasiliano, Jerry Muro wa Yanga SC (kulia) na Hajji Manara wa Simba SC (kushoto) wakitaniana jana kabla ya mechi za Nusu Fainali baina ya timu zao na Mtibwa Sugar na URA ya Uganda. Simba SC ilitolewa na Mtibwa kufungwa 1-0, wakti Yanga ilitolewa na URA kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90
  Jerry Muro na Hajji Manara sasa wamekuwa masahiba, wakionana hucheka pamoja na kutaniana
  Kabla ya bapo Jerry Muro alikwenda kutaniana na mashabiki wa Simba SC  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JERRY MURO NA HAJI MANARA NINI TENA HAPAA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top