• HABARI MPYA

    Saturday, January 09, 2016

    KERR NA PLUIJM WAFANYA KIKAO CHA DHARULA BAADA YA KUGONGANA MAZOEZINI AMAAN

    Makocha, Muingereza Dylan Kerr wa Simba SC (kulia) akizungumza na Hans van der Pluijm (kushoto) Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo wakati timu zilipokutana kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mechi za Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi kesho
    Yanga SC walikuwa ndiyo wanamaliza na Simba SC walikuwa ndiyo wanaingia majira ya 11:00 jioni
    Yanga SC watacheza na URA kesho usiku, wakati Simba SC watacheza na Mtibwa Sugar jioni

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KERR NA PLUIJM WAFANYA KIKAO CHA DHARULA BAADA YA KUGONGANA MAZOEZINI AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top