• HABARI MPYA

    Wednesday, January 13, 2016

    KAPILIMA WA MAJIMAJI NA MAKUNDA WA YANGA, ENZI ZA LIGI YA SAFARI LAGER

    Beki wa Majimaji ya Songea, Omary Kapilima (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya winga wa Yanga SC, Akida Makunda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Safarin Lager mwaka 1999 Uwanja wa Taifa, (sasa Uhuru), Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPILIMA WA MAJIMAJI NA MAKUNDA WA YANGA, ENZI ZA LIGI YA SAFARI LAGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top