• HABARI MPYA

  Monday, January 11, 2016

  HAJIB NA MBONDE JANA ILIKUWA SHUGHULI PEVU AMAAN!

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kushoto) akipambana na beki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mtibwa Sugar ilishinda 1-0 na sasa itawania Kombe la Mapinduzi 2016 dhidi ya URA ya Uganda iliyoitoa Yanga SC jana pia. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAJIB NA MBONDE JANA ILIKUWA SHUGHULI PEVU AMAAN! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top