Mbrazil Oscar akishangilia baada ya kuifungia Chelsea dakika ya 29 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst jioni ya leo. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Willian dakika ya 60 na Diego Costa dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alcaraz announces shock split with coach Ferrero
-
Six-time major champion Carlos Alcaraz splits with his coach Juan Carlos
Ferrero in a shock move.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment