• HABARI MPYA

    Friday, January 01, 2016

    AZAM FC WALIVYOSAFIRI LEO KUELEKEA ZANZIBAR KOMBE LA MAPINDUZI

    Wachezaji wa Azam FC, kipa Ivo Mapunda (kushoto) na beki Shomary Kapombe (kulia) wakiwa kwenye boti leo wakati wa safari ya Zanzibar kwenda kucheza Kombe la Mapinduzi, michuano inayoanza Jumapili visiwani humo.
    Nahodha John Bocco akiwa na mchezaji mwenzake na sahiba wake mkubwa, Himi Mao wakati wa safari ya Zanzibar leo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOSAFIRI LEO KUELEKEA ZANZIBAR KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top