• HABARI MPYA

    Monday, January 11, 2016

    KOMBE LA FA ENGLAND; ARSENAL, MAN U WAPEWA 'WAGUMU' WA LA KWANZA

    MABINGWA watetezi, Arsenal wamepangwa kucheza na timu ya Daraja la Kwanza, Burnley katika Raundi ya Nne ya Kombe la FA, England.
    Washika Bunduki wa London ambao wanataka kushinda taji hilo maarufu kwa mwaka wa tatu mfululizo, waliifunga Sunderland 3-1 Jumamosi na kusonga mbele.
    Manchester United, ambayo ilipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Sheffield United Uwanja wa Old Trafford mwishoni mwa wiki, watamenyana na timu ya Daraja la Kwanza pia, lakini tishio, Derby County. 

    Arsenal imefika hatua hii baada ya kuitoa Sunderland kwa kuichapa mabao 3-1 Jumamosi PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    RATIBA KAMILI RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA

    West Brom/Bristol City vs Peterborough
    Eastleigh/Bolton vs Leeds United
    Arsenal vs Burnley
    Derby County vs Manchester United
    Huddersfield/Reading vs Walsall
    Exeter City/Liverpool vs West Ham
    Wycombe/Aston Villa vs Manchester City
    Shrewsbury vs Sheffield Wednesday
    Nottingham Forest vs Watford 
    Carlisle United/Yeovil vs Everton
    Crystal Palace vs Stoke City
    Oxford United vs Newport/Blackburn
    Ipswich/Portsmouth vs Bournemouth
    Colchester United vs Tottenham/Leicester
    Bury/Bradford vs Hull City
    Northampton Town/MK Dons vs Chelsea 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOMBE LA FA ENGLAND; ARSENAL, MAN U WAPEWA 'WAGUMU' WA LA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top