• HABARI MPYA

  Friday, June 01, 2018

  'SHEIKH MBWANA BIN SAMATTA' TAYARI KUPATA FUTARI MADINA JANA

  Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta akiwa katika msikiti wa Nabawi mjini Madina tayari kupata futari jana. Kushoto kwake ni mchezaji mwenzake, Omar Colley anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji. Msikiti wa Nabawi ndiyo ambao enzi za uhai wake, Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa anasali  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'SHEIKH MBWANA BIN SAMATTA' TAYARI KUPATA FUTARI MADINA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top