• HABARI MPYA

  Sunday, June 17, 2018

  MEXICO YAWATULIZA UJERUMANI, YAWAPIGA 1-0 KOMBE LA DUNIA

  Hirving Lozano akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao pekee Mexico dakika ya 35 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Ujerumani leo Uwanja wa Luzhniki mjini Moscwo, Urusi kwenye mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MEXICO YAWATULIZA UJERUMANI, YAWAPIGA 1-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top