Yuya Osako (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Japan dakika ya 73 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia Uwanja wa Mordovia Arena mjini Saransk, Urusi. Wengine ni Yuto Nagatomo (kushoto) na Maya Yoshida. Bao la Kwanza la Japan lilifungwa na Shinji Kagawa dakika ya sita kabla ya Juan Fernando Quintero kuisawazishia Colombia dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment