Cristiano Ronaldo (kulia) akigombea mpira na kipa wa Iran, Ali Beiranvand katika mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia leo Uwanja wa Mordovia Arena mjini Saransk nchini Urusi, timu hizo zikitoka 1-1 mwanasoka huyo bora wa dunia akikosa penalti iliyookolewa na mlinda mlango huyo dakika ya 53. Ureno ilitangulia kwa bao la Ricardo Quaresmadakika ya 45, kabla ya Karim Ansarifard kuisawazishia kwa penalti Iran dakika ya 90 na ushei. Ureno imefuzu hatua ya 16 Bora kama mshindi wa pili wa Kundi B kwa pointi zake tano sawa na Hispania waliomaliza juu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
58 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment