Kikosi cha Pamba FC ya Mwanza mwaka 1989 chini ya kocha Muhsin Maftah (sasa marehemu, kulia waliosimama) kabla ya moja ya mechi zake Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Wengine waliosimama baada ya kocha Maftah ni George Masatu, Madata Lubigisa, Andrew Godwin, Kitwana Suleiman, Hussein Marsha, David Mwakalebela na James Washokera. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hamisi Kimbingile, Juma Amir Maftah, George Gole, Ally Bushiri, Yussuf Suleiman, Hamza Mponda, Paul Rwechungura na Nico Bambaga.
Jim Smith: Ex-Derby County, Oxford United & Portsmouth boss dies, aged 79
-
Former Derby County, Oxford United and Portsmouth manager Jim Smith dies at
the age of 79.
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment