Ahmed Musa akishangilia baada ya kuifungia Nigeria mabao yote dakika za 49 na 75 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia leo Uwanja wa Volgograd Arena nchini Urusi, kabla ya Gylfi Sigurdsson kukosa penalti dakika ya 83 na kuikosesha timu yake japo bao la kufutia machozi. Nigeria sasa itakutana na Argentina katika mchezo mkali wa mwisho wa Kundi D Jumanne ijayo kuwania kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment