• HABARI MPYA

    Tuesday, June 26, 2018

    BARDEN AWASILI NA SUTI YA AINA YAKE KUCHUKUA TUZO YA MVP WA NBA

    Nyota wa Houston Rockets, James Harden baada ya kupokea tuzo yake ya Mchezaji Bora (MVP wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani, maarufu kama NBA jana mjini Santa Monica PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

    WASHINDI WOTE WA TUZO ZA NBA 

    MVP - James Harden (Houston Rockets)
    Rookie of the Year - Ben Simmons (Philadelphia 76ers)
    Most Improved Player - Victor Oladipo (Indiana Pacers)
    Defensive Player of the Year -  Rudy Gobert (Utah Jazz)
    Coach of the Year - Dwane Casey (Toronto Raptors/Detroit Pistons)
    Sixth Man of the Year - Lou Williams (LA Clippers)
    Executive of the Year - Daryl Morey (Houston Rockets) 
    Team-mate of the Year - Jamal Crawford (Minnesota Timberwolves)
    Play of the Year - LeBron James (Cleveland Cavaliers)
    Lifetime achievement - Oscar Robertson 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARDEN AWASILI NA SUTI YA AINA YAKE KUCHUKUA TUZO YA MVP WA NBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top