Mkuu wa Idara ya Masoko wa SportPesa Afrika Mashariki, Kelvin Jackson Twissa (kulia) ameposti picha hii akiwa na bingwa wa zamani wa uzito wa juu wa WBC, Anthony Lewis Bellew maarufu tu kama Tonny Bellew ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa kampuni hiyo. Picha hii wamepiga makao makuu ya SportPesa mjini Liverpool, Merseyside, England
Loading...
0 comments:
Post a Comment