Nyota wa Brazil, Neymar akimtoka kiufundi mchezaji wa Serbia katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Jumatano Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskow. Brazil ilishinda 2-0, mabao ya Paulinho dakika ya 36 na Thiago Silva dakika ya 68, hivyo kufuzu hatua ya 16 Bora na itakutana na Mexico Julai 2, wakati Serbia imetolewa. Uswisi iliyotoa sare ya 2-2 na Costa Rica nayo imefuzu pia 16 Bora na itamenyana na Sweden Julai 3 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment