• HABARI MPYA

  Thursday, June 21, 2018

  DIEGO COSTA AIFUNGIA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA 1-0 IRAN

  Diego Costa akipongezwa na mchezaji mwenzake, Isco baada ya kuifungia Hispania bao pekee la ushindi dakika ya 54 ikiilaza 1-0 Iran katika mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia leo Uwanja Kazan Arena nchini Urusi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AIFUNGIA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA 1-0 IRAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top