• HABARI MPYA

  Friday, June 22, 2018

  MESSI NA ARGENTINA YAKE WAPIGWA 3-0 NA CROATIA

  Lionel Messi akiwa haamini macho yake baada ya Argentina kuchapwa 3-0 na Croatia katika mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Alhamisi Uwanja wa Nizhny Novgorod nchini Urusi, mabao ya Ante Rebic dakika ya 53, Luka Modric dakika ya 80 na Ivan Rakitic dakika ya 90 na ushei. Mechi ya kwanza Argentina ilitoa sare 1-1 na Iceland na sasa watalazimiak kuifunga Nigeria katika mchezo wa mwisho Juni 26 kuangalia uwezekano wa kwenda Raundi ya Pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI NA ARGENTINA YAKE WAPIGWA 3-0 NA CROATIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top