• HABARI MPYA

  Friday, June 01, 2018

  MAYWEATHER AFURAHIA MWANAWE KUHITIMU ELIMU YA JUU

  Bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd Joy Mayweather Jr. ameposti picha hii akiwa na mwanawe Koraun kumpongeza kwa kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu, akjivunia sana hilo kwa sababu yeye mwenyewe hakusoma kutokana na kujikita kwenye mchezo wa ndondi mapema.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER AFURAHIA MWANAWE KUHITIMU ELIMU YA JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top