Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza leo dakika ya saba katika mchezo wa kirafiki wa Nusu Fainali Kombe la Audi dhidi ya wenyeji, Bayern Munich Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 34 na Daniel Sturridge dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russell takes Melbourne pole after Verstappen crash
-
George Russell takes pole position as Mercedes dominate a qualifying
session for the Australian Grand Prix in which Max Verstappen crashed.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment