• HABARI MPYA

    Sunday, August 27, 2017

    SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU

    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 7-0 Okwi akifunga mabao manne
    Emmanuel Okwi akipiga hesabu za kumpita beki wa Ruvu Shooting jana. Nyuma yake ni kiungo aliyempasia, Haruna Niyonzima
    Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio akimtoka beki wa Ruvu Shooting 
    Kipa wa Ruvu Shooting akiwa amedaka mbele ya winga wa Simba, Shiza Kichuya 
    Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana
    Kikosi cha Ruvu Shooting kilichoanza jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top