• HABARI MPYA

  Sunday, July 23, 2017

  SPURS YALIAMSHA DUDE MAREKANI, YAWAGONGA 4-2 PSG

  Wachezaji wa Tottenham Hotspur wakimpongeza mwenzao, Toby Alderweireld baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 82 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Paris Saint Germain Uwanja wa Camping World mjini Orlando, Florida, Marekani. Mabao mengine yamefungwa na Christian Eriksen dakika ya 11, Eric Dier dakika ya 18 na Harry Kane kwa penalti dakika ya 88, wakati ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani dakika ya sita na Javier Pastore dakika ya 36  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YALIAMSHA DUDE MAREKANI, YAWAGONGA 4-2 PSG Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top