• HABARI MPYA

  Sunday, July 02, 2017

  SIMBA SC ENZI HIZO AZIM DEWJI ANAPIGA ‘NAMBA 12’ ILIKUWA STAREHE

  Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 kutoka kulia waliosimama ni; Rashid Abdallah, Malota Soma, Mwameja Mohammed, George Masatu, Deo Mkuki na mfadhili Azim Dewji. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Iddi Suleman ‘Meya’, Duwa Said, Ramadhani Lenny (marehemu), Hussein Marsha, Fikiri Magoso na Edward Chumila (marehemu) 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ENZI HIZO AZIM DEWJI ANAPIGA ‘NAMBA 12’ ILIKUWA STAREHE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top