• HABARI MPYA

    Sunday, July 16, 2017

    SAMATTA ALIVYOWASHUGHULISHA MABEKI WA AJAX JANA

    Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3. 
    Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax timu hizo zikitoka sare ya 3-3 jana 
    Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future 
    Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo
    Mbwana Samatta akimtoka mchezaji wa Ajax Uwanja wa The Ajax Future jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOWASHUGHULISHA MABEKI WA AJAX JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top