• HABARI MPYA

    Saturday, July 22, 2017

    ROONEY AKILISHWA MBINU ZA KUWAFUNGA AKINA SAMATTA LEO

    Kocha Ronald Koeman (kushoto) akimpa maelekezo mshambuliaji wake, Wayne Rooney nchini Uholanzi wakati wa mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, KRC Genk wanaijivunia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta leo Uwanja wa Luminus Arena, Genk, Ubelgiji PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AKILISHWA MBINU ZA KUWAFUNGA AKINA SAMATTA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top