• HABARI MPYA

    Saturday, July 22, 2017

    KASEKE ALIVYOKABIDHIWA VIFAA VYA KAZI SINGIDA UNITED

    Mtendaji Mkuu wa Singida United, Sanga Festo (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo kiungo, Deus Kaseke baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Yanga SC kama mchezaji huru akisaini mkataba wa miaka miwili jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KASEKE ALIVYOKABIDHIWA VIFAA VYA KAZI SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top