• HABARI MPYA

  Sunday, July 02, 2017

  PACQUIAO 'AMCHAKAZA MTU' LAKINI APOTEZA PAMBANO 'KIMIZENGWE'

  Jeff Horn (kushoto) akiugulia maumivu ya konde la Mfilipino Manny Pacquiao (kulia) katika pambano la uzito wa Welter asubuhi ya leo Uwanja wa Suncorp mjini Brisbane, Australia. Pacquiao ametawala pambano na kumzidi kila mwenyeji, lakini ajabu Horn amepewa ushindi na majaji wote baada ya raundi 12 (117-111, 115-113 na 115-113). Kwa matokeo hayo Pacquiao amepoteza mkanda wake wa WBO na uwezekano wa kurudiana na Mmarekni Floyd Mayweather Jnr sasa ni mdogo baada ya kupoteza pambano la saba kati ya 68, akiwa ameshinda 59 na sare mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PACQUIAO 'AMCHAKAZA MTU' LAKINI APOTEZA PAMBANO 'KIMIZENGWE' Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top