• HABARI MPYA

    Wednesday, July 19, 2017

    ORIGI AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAIKANDAMIZA 2-0 CRYSTAL PALACE

    Mshambuliaji Divock Origi akifurahia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 79 ikiilaza 2-0 Crystal Palace katika mchezo wa kuwania taji la Ligi Kuu Asia leo Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Bao la kwanza lilifungwa na Dominic Solanke dakika ya 61 baada ya kutokea benchi kipindi cha pili na sasa Liverpool itacheza na Leicester City katika fainali PICHA ZADI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ORIGI AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAIKANDAMIZA 2-0 CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top