• HABARI MPYA

    Wednesday, July 19, 2017

    'BARTHEZ' ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA SINGIDA UNITED

    Mtendaji Mkuu wa Singida United, Sanga Festo akimkabidhi jezi ya timu hiyo kipa mkongwe, Ally Mustafa Mtinge 'Barthez' baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili leo kama mchezaji huru akitokea Yanga 
    Picha ya chini Barthez akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam baada ya kusaini mkataba huo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'BARTHEZ' ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top