• HABARI MPYA

    Wednesday, July 19, 2017

    ARSENAL 'YAITUPA NJE' YA MICHUANO KWA MATUTA BAYERN MUNICH

    Wachezaji wa Arsenal wakifurahia ushindi wa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika ya 90 dhidi ya Bayern Munich leo Uwanja wa Shanghai, China kwenye mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. 
    Robert Lewandowski alianza kuifungia kwa penalti Bayern Munich dakika ya tisa kabla ya Alex Iwobi kuisawazishia Arsenal dakika ya 90 na ushei. 
    Waliofunga penalti za Arsenal ni Aaron Ramsey, Monreal na Iwobi wakati ya Mohamed Elneny iliokolewa na za Bayern zilifungwa Hummels na Coman, wakati za Alaba na Bernat zikiokolewa na kipa Damian Emiliano Martinez huku ya Sanches ikienda nje PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL 'YAITUPA NJE' YA MICHUANO KWA MATUTA BAYERN MUNICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top