• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2017

  LEICESTER YAING'OA KWA MATUTA WEST BROM HONG KONG

  Riyad Mahrez akifumua shuti kuifungia Leicester City bao la kusawazisha dakika ya 24, baada ya Jay Rodriguez kuifungia West Brom bao la kuongoza dakika ya 10 katika sare ya 1-1 Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Leicester ilishinda kwa penalti 7-6 katika Kombe la Ligi Kuu Asia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER YAING'OA KWA MATUTA WEST BROM HONG KONG Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top