• HABARI MPYA

    Monday, July 17, 2017

    KIUNGO WA ZAMANI YANGA ALIYEPITA SIMBA ATUA MBEYA CITY

    Kiungo wa zamani wa Yanga, Bakari Masoud akisaini mkataba wa kujiunga na Mbeya City baada ya kupita kwa muda na Simba, ambayo aliichezea kwenye michuano ya SportPesa Super Cup mwezi uliopita
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIUNGO WA ZAMANI YANGA ALIYEPITA SIMBA ATUA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top