• HABARI MPYA

  Monday, July 17, 2017

  BAKAYOKO ALIVYOANZA KAZI RASMI CHELSEA LEO

  Kiungo mpya wa Chelsea, Mfaransa Tiemoue Bakayoko akiingia uwanja wa mazoezi wa timu yake hiyo mpya, Cobham kufanya mazoezi na wenzake kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe kwa dau la Pauni Milioni 40 kutoka Monaco ya Ufaransa juzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAKAYOKO ALIVYOANZA KAZI RASMI CHELSEA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top