• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2017

  JUMA NYOSSO MAZOEZINI NA KAGERA SUGAR LEO KARUME

  Beki mpya wa Kagera Sugar, Juma Said Nyosso (kulia) akikimbia kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Kiungo mshambuliaji Ame Ally 'Zungu' akikimbia kwenye mazoezi ye leo Karume
  Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Japhet Makalai akiondoka na mpira
  Kiungo mpya, Peter Mwalyanzi akipasua na mpira katikati ya wachezaji wenzake
  Wachezaji wa Kagera Sugar wakiongozwa na kipa mkongwe, Juma Kaseja wakikimbia mazoezini leo 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUMA NYOSSO MAZOEZINI NA KAGERA SUGAR LEO KARUME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top