Kipa wa Manchester City, Joe Hart akiwa ameshika jezi ya West Ham United baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu wa msimu. Hart anarejea England baada ya msimu uliopita kucheza kwa mkopo Torino ya Italia kwa mkopo pia kutoka Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Arsenal's wobble may not even matter - despite 'feeling pressure'
-
Arsenal's winless run may normally be cause for concern - but the stats
suggest they are still in control of the Premier League title race.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment