• HABARI MPYA

    Tuesday, July 18, 2017

    NJOMBE MJI YAANZA 'VURUGU ZAKE', YAIPORA STRAIKA MBEYA CITY

    Mshambuliaji Ditram Nchimbi (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu mpya katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Njombe Mji FC akitokea Mbeya City iliyomsajili msimu uliopita kutoka Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Njombe Mji FC, Erasto Mpete 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NJOMBE MJI YAANZA 'VURUGU ZAKE', YAIPORA STRAIKA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top