• HABARI MPYA

    Sunday, July 16, 2017

    TAIFA STARS NA AMAVUBI KATIKA PICHA JANA KIRUMBA

    Beki wa kulia wa Tanzania, Boniphace Maganga akijaribu kuwapita wachezaji wa Rwanda katika mchezo wa kwanza wa mtoano kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza nchini mwao pekee. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana.    
    Nahodha wa Taifa Stars, Himid Mao (katikati) akikimbia na wenzake baada ya kufunga bao la kusawazisha
    Kiungo wa Tanzania, Muzamil Yasson akiwatoka wachezaji wa Rwanda 
    Beki wa Tanzania, Gardiel Michael (kulia) akipaambana na mchezaji wa Rwanda
    Kikosi cha Tanzania kilichoanza katika mchezo wa jana Kirumba
    Kikosi cha Rwanda kilichoanza katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA AMAVUBI KATIKA PICHA JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top