• HABARI MPYA

  Thursday, July 20, 2017

  EVERTON YAICHAPA 3-0 FC TWENTE KIRAFIKI UHOLANZI

  Danny Holla wa FC Twente (kulia) akiutelezea mpira miguuni mwa Ademola Lookman wa Everton katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Sportpark De Stockakker mjini De Lutte, Uholanzi. Everton ilishinda 3-0 mabao ya Kevin Mirallas dakika ya 44, Aaron Lennon dakika ya 73 na Kieran Dowell dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAICHAPA 3-0 FC TWENTE KIRAFIKI UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top