• HABARI MPYA

    Thursday, September 01, 2016

    WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA USAJILI LIGI KUU ENGLAND

    KLABU ya Leicester City ilithibitisha msimu uliopita kwamba huhitaji kusajili wachezaji wenye majina makubwa duniani ili kuwa na kikosi cha ubingwa.
    Lakini usitarajie mafanikio ya The Foxes kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England yatazifanya klabu nyingine za ligi hiyo kupunguza bajeti zao kumsaka Jamie Vardy wao katika klabu za jirani zisizoshiriki ligi yoyote.
    Mchezaji wa Tottenham, Dele Alli ni mfano mwingine wa kipaji kilichochukuliwa timu ya daraja la chini, lakini Manchester United hawajajutia fedha walizoa kumsaini Anthony Martial msimu uliopita.
    Sasa pata taarifa rasmi na kamili za usajili wa timu zote za Ligi Kuu ya England baada ya dirisha kufungwa usiku wa jana.
    Moussa Sissoko ametua Tottenham Hotspur ghafla  
    ARSENAL  
    WALIOINGIA: Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach, Pauni Milioni 35), Shkodran Mustafi (Valencia, Pauni Milioni 35), Lucas Perez (Deportivo La Coruna, Pauni Milioni 17) na Rob Holding (Bolton, Pauni Milioni 2.5) 
    WALIOTOKA: Isaac Hayden (Newcastle United)
    Serge Gnabry (Werder Bremen, Pauni Milioni 4.5), Tomas Rosicky (Sparta Prague, bure), Mikel Arteta (ametemwa), Mathieu Flamini (ametemwa), Joel Campbell (Sporting Lisbon, mkopo), Jack Wilshere (Bournemouth, mkopo), Calum Chambers (Middlesbrough, mkopo) na Glen Kamara (Colchester United, mkopo) 

    BOURNEMOUTH
    WALIOINGIA: Jordon Ibe (Liverpool, Pauni Milioni 15), Brad Smith (Liverpool, Pauni Milioni 6), Lewis Cook (Leeds United, Pauni Milioni 6), Lys Mousset (Le Havre, Pauni Milioni 5.4), Marc Wilson (Stoke City, Pauni Milioni 2), Mihai Dobre (Viitorul Constanta), Emerson Hyndman (Fulham), Nathan Ake (Chelsea, mkopo) na Jack Wilshere (Arsenal, mkopo) 
    WALIOTOKA: Matt Ritchie (Newcastle United, Pauni Milioni 12), Tommy Elphick (Aston Villa, Pauni Milioni 3.6), Lee Tomlin (Bristol City, Pauni Milioni 2.75), Shaun MacDonald (Wigan Athletic), Eunan O'Kane (Leeds United),Tokelo Rantie (Genclerbirligi), Sylvain Distin (ametemwa), Stephane Zubar (ametemwa), Josh Carmichael (ametemwa), Josh Wakefield (ametemwa), Glenn Murray (Brighton & Hove Albion, mkopo), Matt Butcher (Yeovil Town, mkopo), Baily Cargill (Gillingham, mkopo) na Rhoys Wiggins (Birmingham City, mkopo 

    BURNLEY
    WALIOINGIA: Jeff Hendrick (Derby County, Pauni Milioni 10.5), Steven Defour (Anderlecht, Pauni Milioni 7), Johann Berg, Gudmundsson (Charlton Athletic, Pauni Milioni 2.5), Nick Pope (Charlton Athletic, Pauni Milioni 1.1), Jon Flanagan (Liverpool, mkopo) na Patrick Bamford (Chelsea, mkopo) 
    WALIOTOKA: David Jones (Sheffield Wednesday, Cameron Dummigan (Oldham Athletic, bure), 
    Joey Barton (Rangers, bure), Matt Gilks (Rangers, bure), Steven Hewitt (Accrington Stanley, bure), Lloyd Dyer (Burton Albion, bure), Matt Taylor (Northampton Town, bure), Michael Duff (amestaafu), Chris Long (Fleetwood Town, mkopo), Lucas Jutkiewicz (Birmingham, mkopo), Daniel Lafferty (Sheffield United, mkopo) na Fredrik Ulvestad (Charlton Athletic, mkopo) 

    CHELSEA 
    WALIOINGIA:
    Michy Batshuayi (Marseille, Pauni Milioni 33), 
    N'Golo Kante (Leicester, Pauni Milioni 32), David Luiz (Paris Saint-Germain, Pauni Milioni 32), Marcos Alonso (Fiorentina, Pauni Milioni 23) 
    Eduardo (Dinamo Zagreb, Pauni Milioni 2) 
    WALIOTOKA: Mohamed Salah (Roma, Pauni Milioni 16), Papy Djilobodji (Sunderland, Pauni Milioni 8), John Swift (Reading, bure), Nathan Ake (Bournemouth, mkopo). Tomas Kalas (Fulham, mkopo), Tammy Abraham (Bristol City, mkopo), 
    Bertrand Traore (Ajax, mkopo), Izzy Brown (Rotherham United, mkopo), Patrick Bamford (Burnley, mkopo), Loic Remy (Crystal Palace, mkopo), Juan Cuadrado (Juventus, mkopo), 
    Christian Atsu (Newcastle United, mkopo), 
    Kenedy (Watford, mkopo), Jake Clarke-Salter (Bristol Rovers, mkopo) na Lucas Piazon (Fulham, mkopo).

    CRYSTAL PALACE: 
    WALIOINGIA: Christian Benteke (Liverpool, Pauni Milioni 32), Andros Townsend (Newcastle United, Pauni Milioni 13), James Tomkins (West Ham United, Pauni Milioni 10), Steve Mandanda (Marseille Pauni Milioni 1.5), Loic Remy (Chelsea, mkopo).
    WALIOTOKA: Yannick Bolasie (Everton, Pauni Milioni 30), Dwight Gayle (Newcastle United, Pauni Milioni 10), Mile Jedinak (Aston Villa, Pauni Milioni 4), Alex McCarthy (Southampton), Jerome Binnom-Williams (Peterborough United), Jake Gray (Luton Town, bure), Adrian Mariappa (Watford, bure), Emmanuel Adebayor (ametemwa), Marouane Chamakh (ametemwa)
    Brede Hangeland (ametemwa), Paddy McCarthy (ametemwa), Jonny Williams (Ipswich, mkopo), Hiram Boateng (Bristol Rovers, mkopo) na Sullay Kaikai (Brentford, mkopo). 

    EVERTON 
    WALIOINGIA: Yannick Bolasie (Crystal Palace, Pauni Milioni 30), Ashley Williams (Swansea, Pauni Milioni 9), Idrissa Gana Gueye (Aston Villa, Pauni Milioni 7.1), Maarten Stekelenburg (Fulham),  Dominic Calvert-Lewin (Sheffield United, Pauni Milioni 15.), Enner Valencia (West Ham United, mkopo). 
    WALIOTOKA: John Stones (Manchester City, Pauni Milioni 47.5), Ryan Ledson (Oxford United), Steven Pienaar (Sunderland, bure), Tony Hibbert (ametemwa), Leon Osman (ametemwa), Luke Garbutt (Wigan Athletic, mkopo), Aiden McGeady (Preston North End, mkopo), Brendan Galloway (West Bromwich Albion, mkopo), Shani Tarashaj (Eintracht Frankfurt, mkopo) 

    HULL CITY 
    WALIOINGIA: Ryan Mason (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 10), Will Keane (Manchester United, Pauni Milioni 1), Will Mannion (AFC Wimbledon), 
    David Marshall (Cardiff), James Weir (Manchester United), Dieumerci Mbokani (Dynamo Kiev, mkopo), Markus Henriksen (AZ Alkmaar, mkopo) 
    WALIOTOKA: Mohamed Diame (Newcastle United, Pauni Milioni 4.5), Sone Aluko (Fulham, bure), Calaum Jahraldo-Martin (Oldham Athletic, bure) 
    Ryan Taylor (ametemwa) 

    LEICESTER CITY 
    WALIOINGIA: Islam Slimani (Sporting Lisbon, Pauni Milioni 29.7), Ahmed Musa (CSKA Moscow, Pauni Milioni 18), Nampalys Mendy (Nice, Pauni Milioni 13), Bartosz Kapustka (Cracovia, Pauni Milioni 7.5), Ron-Robert Zieler (Hannover 69), Luis Hernandez (Sporting Gijon), Raul Uche Rubio (Rayo Vallecano)
    WALIOTOKA
    N'Golo Kante (Chelsea, Pauni Milioni 32), Liam Moore (Reading, Pauni Milioni 1), Gokhan Inler (Besiktas), Andrej Kramaric (Hoffenheim)
    Ritchie De Laet (Aston Villa), Joe Dodoo (Rangers)
    Paul Konchesky (Gillingham), Ryan Watson (Barnet, bure), Dean Hammond (ametemwa), Harry Panayiotou (ametemwa), Mark Schwarzer (ametemwa), Michael Cain (Blackpool, mkopo), 
    Tom Lawrence (Ipswich, mkopo) 

    LIVERPOOL: 
    WALIOINGIA: Sadio Mane (Southampton, Pauni Milioni 30), Georginio Wijnaldum (Newcastle United, Pauni Milioni 25), Ragnar Klavan (Augsburg, Pauni Milioni 5), Loris Karius (Mainz, Pauni Milioni 4.7), Joel Matip (Schalke, bure), Alex Manninger (Augsburg, bure).
    WALIOTOKA: Christian Benteke (Crystal Palace, Pauni Milioni 32), Jordon Ibe (Bournemouth, Pauni Milioni 15), Joe Allen (Stoke City, Pauni Milioni 13.5), Brad Smith (Bournemouth, Pauni Milioni 6), 
    Martin Skrtel (Fenerbahce, Pauni Milioni 5), Luis Alberto (Lazio, Pauni 4.3), Jerome Sinclair (Watford, Pauni Milioni 4), Sergi Canos (Norwich City Pauni Milioi 2.5), Lawrence Vigouroux (Swindon Town, Pauni 400,000), Jordan Rossiter (Rangers, Pauni 250,000), Mario Balotelli (Nice, bure), Jose Enrique (ametemwa), Kolo Toure (ametemwa), Samed Yesil (ametemwa), Jon Flanagan (Burnley, mkopo), Danny Ward (Huddersfield Town, mkopo), Adam Bogdan (Wigan Athletic, mkopo), Ryan Kent (Barnsley, mkopo), Andre Wisdom (Red Bull Salzburg, mkopo), Lazar Markovic (Sporting Lisbon, mkopo) 

    MANCHESTER CITY: 
    WALIOINGIA: John Stones (Everton, Pauni Milioni 47.5), Leroy Sane (Schalke, Pauni Milioni 42), Gabriel Jesus (Palmeiras, Pauni Milioni 27), Ilkay Gundogan (Borussia Dortmund, Pauni Milioni 21), 
    Claudio Bravo (Barcelona, Pauni Milioni 17), 
    Nolito (Celta Vigo Pauni Milioni 14), Marlos Moreno (Atletico Nacional, Pauni Milioni 4.5) 
    Oleksandr Zinchenko (Ufa), Aaron Mooy (Melbourne City, kubadilishana wachezaji)  
    WALIOTOKA: Marlos Moreno (Deportivo La Coruna, mkopo), Aaron Mooy (Huddersfield, mkopo), Martin Demichelis (ametemwa), Richard Wright (amestaafu), Joe Hart (Torino, mkopo), 
    Wilfried Bony (Stoke City, mkopo), Samir Nasri (Sevilla, mkopo), Eliaquim Mangala (Valencia, mkopo), Jason Denayer (Sunderland, mkopo), 

    MANCHESTER UNITED 
    WALIOINGIA: Paul Pogba (Juventus, Pauni Milioni 100), Eric Bailly (Villarreal, Pauni Milioni 30), Henrikh Mkhitaryan (Borussia Dortmund, Pauni Milioni 26), Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain, bure)
    WALIOTOKA: Donald Love (Sunderland, Pauni Milioni 5.5), Paddy McNair (Sunderland, Pauni Milioni 5.5), Will Keane (Hull City, Pauni Milioni 1), 
    Ashley Fletcher (West Ham United, pauni 700,000) 
    Tyler Reid (Swansea City), James Weir (Hull City) 
    Tyler Blackett (Reading,), Victor Valdes (Middlesbrough, bure), Nick Powell (Wigan Athletic, bure), Guillermo Varela (Eintracht Frankfurt, mkopo), Adnan Januzaj (Sunderland, mkopo), James Wilson (Derby County, mkopo), 
    Andreas Pereira (Granada, mkopo), 
    Cameron Borthwick-Jackson (Wolverhampton Wanderers, mkopo).

    MIDDLESBROUGH:
    WALIOINGIA: Marten De Roon (Atalanta, Paui Milioi 12), Viktor Fischer (Ajax, Pauni Milioni 3.8), Antonio Barragan (Valencia, Pauni Milioni 3),
    Fabio da Silva (Cardiff City), Adama Traore (Aston Villa), Victor Valdes (Manchester United, bure)
    Brad Guzan (Aston Villa, bure), Bernardo Espinosa (Sporting Gijon, bure), Jordan McGhee (Hearts, mkopo), Alvaro Negredo (Valencia, mkopo), Calum Chambers, Arsenal, mkopo). 
    WALIOTOKA: Albert Adomah (Aston Villa, Adam Reach (Sheffield Wednesday), Adam Jackson (Barnsley), Rhys Williams (Perth Glory, bure), Jordan Jones (Kilmarnock, bure), Mustapha Carayol (Nottingham Forest, bure), Jonathan Woodgate (ametemwa), Damia Abella (ametemwa), Connor Ripley (Oldham Athletic mkopo), Albert Adomah (Aston Villa, mkopo), 
    Bradley Fewster (Hartlepool United, mkopo), Alex Baptiste (Preston North End, mkopo) na Dael Fry (Rotherham United, mkopo). 

    SOUTHAMPTON: 
    WALIOINGIA: Sofiane Boufal (Lille, Pauni Milioni 16), Pierre-Emile Hojbjerg (Bayern Munich, Pauni Milioni 12), Nathan Redmond (Norwich City, Pauni Milioni 11), Alex McCarthy (Crystal Palace), Jeremy Pied (Nice, bure), Stuart Taylor (bure, hakuwa na timu) 
    WALIOTOKA: Sadio Mane (Liverpool, Pauni Milioni 30), Graziano Pelle (Shandong Luneng, Pauni Milioni 13), Victor Wanyama (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 11), Gaston Ramirez (ametemwa), Kelvin Davis (amestaafu), Jason McCarthy (Walsall, mkopo), Paulo Gazzaniga (Rayo Vallecano, mkopo), Sam Gallagher (Blackburn Rovers, mkopo), Dominic Gape (Wycombe Wanderers, mkopo) 

    STOKE CITY: 
    Joe Allen (Liverpool, Pauni Milioni 13.5), Ramadan Sobhi (Al Ahly, Pauni Milioni 5), Cameron McJannett (Luton Town), Ryan Sweeney (Wimbledon, mkopo), Lee Grant (Derby County, mkopo), Wilfried Bony (Manchester City, mkopo), Bruno Martins Indi (Porto, mkopo) 
    WALIOTOKA: Marc Wilson (Bournemouth, Pauni Milioni 2), Steve Sidwell (Brighton, mkopo), Peter Odemwingie (ametemwa), Philipp Wollscheid (Wolfsburg, mkopo)

    SUNDERLAND: 
    WALIONGIA: Didier Ndong (Lorient, Pauni Milioni 13.5), Papy Djilobodji (Chelsea, Pauni Milioni 8), Donald Love (Manchester United, Pauni Milioni 5.5), Paddy McNair (Manchester United Pauni Milioni 5.5), Steven Pienaar (Everton, bure), 
    Adnan Januzaj (Manchester United, mkopo), 
    Javier Manquillo (Atletico Madrid, mkopo), na Jason Denayer (Manchester City, mkopo) 
    WALIOTOKA: Younes Kaboul (Watford, Pauni Milioni 3.5), Emanuele Giaccherini (Napoli, Pauni Milioni 2), Jordi Gomez (Wigan Athletic), Liam Bridcutt (Leeds United), Danny Graham (Blackburn Rovers, bure), Steven Fletcher (Sheffield Wednesday, bure), Wes Brown (ametemwa), Steve Harper (ametemwa), Mikael Mandron (ametemwa), Liam Agnew (ametemwa), Will Buckley (Sheffield Wednesday, mkopo), Adam Matthews (Bristol City, mkopo) na Jeremain Lens (Fenerbahce, mkopo)

    SWANSEA CITY 
    WALIOINGIA: Borja Baston (Atletico Madrid, Pauni Milioni 15.5), Leroy Fer (QPR, Pauni Milioni 3.5), Mike van der Hoorn (Ajax, Pauni Milioni 2), Tyler Reid (Manchester United), Fernando Llorente (Sevilla, mkopo), George Byers (Watford, bure), Mark Birighitti (Newcastle Jets, bure).
    WALIOTOKA: Andre Ayew (West Ham United, Pauni Milioni 20.5), Ashley Williams (Everton, Pauni Milioni 9), Alberto Paloschi (Atalanta, Pauni Milioni 6), Eder (Lille, Pauni Milioni 4), Daniel Alfei (ametemwa), Lee Lucas (ametemwa), Bafetimbi Gomis (Marseille, mkopo), Matt Grimes (Leeds United, mkopo), Kyle Bartley (Leeds United, mkopo), Liam Shephard (Yeovil Town, mkopo), Kenji Gorre (Northampton Town, mkopo), Adam King (Southend United, mkopo), Josh Sheehan (Newport County, mkopo), Franck Tabanou (Granada, mkopo na Marvin Emnes (Blackburn Rovers, mkopo)

    TOTTENHAM HOTSPUR  
    WALIOINGIA: Moussa Sissoko (Newcastle United, Pauni milioni 30), Vincent Janssen (AZ Alkmaar, Pauni  Milioni 18.5), Victor Wanyama (Southampton, Pauni Milioni 11), Georges-Kevin Nkoudou (Marseille, Pauni Milioni 10) na Pau Lopez (Espanyol, mkopo) 
    WALIOTOKA: Nacer Chadli (West Bromwich Albion, Pauni Milioni 13), Ryan Mason (Hull City, Pauni Milioni 10), Alex Pritchard (Norwich City, Pauni Milioni 8), DeAndre Yedlin (Newcastle United, Pauni Milioni 5), Dominic Ball (Rotherham United), Federico Fazio (Roma, mkopo), Clinton Njie (Marseille, mkopo) na Nabil Bentaleb (Schalke, mkopo) 

    WATFORD:
    WALIOINGIA: Roberto Pereyra (Juventus, Pauni Milioni 13), Isaac Success (Granada, Pauni Milioni 12), Daryl Janmaat (Newcastle United, Pauni Milioni 7), Christian Kabasele (Racing Genk, Pauni Milioni 5.8), Jerome Sinclair (Liverpool, Pauni Milioni 4), Brice Dja Djedje (Marseille, Pauni Milioni 4), Younes Kaboul (Sunderland, Pauni Milioni 3.5), Stefano Okaka (Anderlecht), 
    Adrian Mariappa (Crystal Palace, bure), Juan Zuniga (Napoli, mkopo) na Kenedy (Chelsea, mkopo).
    WALIOTOKA: Matej Vydra (Derby County, Pauni Milioni 10), Ikechi Anya (Derby County, Pauni Milioni 4), Allan Nyom (West Bromwich Albion, Pauni Milioni 3), Gabriele Angella (Udinese) 
    Jurado (Espanyol), Almen Abdi (Sheffield Wednesday), Daniel Pudil (Sheffield Wednesday), 
    George Byers (Swansea City, bure), Sean Murray (Swindon Town, bure), Joel Ekstrand (ametemwa), 
    Josh Doherty (ametemwa), Steven Berghuis (Feyenoord, mkopo), Tommie Hoban (Blackburn Rovers, mkopo) na Alex Jakubiak (Fleetwood Town, mkopo). 

    WEST BROMWICH ALBION: 
    WALIOINGIA: Nacer Chadli (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 13), Matty Phillips (QPR, Pauni 5.5),  Allan Nyom (Watford, Pauni Milioni 3), Hal Robson-Kanu (Reading, bure), Brendan Galloway (Everton, mkopo). 
    WALIOTOKA:
    Rickie Lambert (Cardiff City), Cristian Gamboa (Celtic), Anders Lindegaard (Preston North End, bure), Victor Anichebe (ametemwa), Stephane Sessegnon (ametemwa), Tyler Roberts (Oxford United, mkopo), Sebastien Pocognoli (Brighton, mkopo) 

    WEST HAM UNITED: 
    WALIOINGIA:
    Andre Ayew (Swansea City, Pauni Milioni 20.5), Arthur Masuaku (Olympiacos, Pauni Milioni 6), 
    Edmilson Fernandes (Sion, Pauni Milioni 5.5), 
    Toni Martinez (Valencia, Pauni Milioni 2.4), Ashley Fletcher (Manchester United, Pauni 700,000), Sofiane Feghouli (Valencia, bure), Havard Nordtveit (Borussia Monchengladbach, bure), Gokhan Tore (Besiktas, mkopo), Jonathan Calleri (Deportivo Maldonado, mkopo), Alvaro Arbeloa (Real Madrid, bure) 
    WALIOTOKA: James Tomkins (Crystal Palace, Pauni Milioni 10), Elliot Lee (Barnsley, bure), Joey O'Brien (ametemwa), Jordan Brown (ametemwa), Leo Chambers (ametemwa), Diego Poyet (ametemwa), Stephen Hendrie (Blackburn Rovers, mkopo), Kyle Knoyle (Wigan Athletic, mkopo), Josh Cullen (Bradford City, mkopo), Lewis Page (Coventry City, mkopo), Enner Valencia (Everton, mkopo), Martin Samuelson (Blackburn Rovers, mkopo) na Reece Burke (Wigan Athletic, mkopo).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA USAJILI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top