• HABARI MPYA

  Saturday, September 24, 2016

  BARCELONA YASHINDA 5-0 UGENINI LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Rafinha, Neymar mawili na Arda Turan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YASHINDA 5-0 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top