• HABARI MPYA

    Monday, September 26, 2016

    YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akipambana katikati ya wachezaji wa Stand United jana Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Stand United ilishinda 1-0
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) dhidi ya wachezaji wa Stand United
    Tambwe akifumua shuti mbele ya wachezaji wa Stand united
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Stand United
     Kikosi cha Yanga SC katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Stand United katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top