• HABARI MPYA

  Thursday, September 01, 2016

  DAVID LUIZ AREJEA CHELSEA KWA PAUNI MILIONI 32 MIAKA MITATU

  Beki David Luiz akionyesha alama ya dole gumba baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 32 kurejea Chelsea ya England kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka PSG ya Ufaransa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAVID LUIZ AREJEA CHELSEA KWA PAUNI MILIONI 32 MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top