Gael Clichy akipongezwa na Kelechi Iheanacho na wachezaji wenzake wa Manchester City baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza Uwanja wa Liberty katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Swansea City kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England usiku huu. Mabao ya City yalifungwa na Clichy dakika ya 49 na Aleix Garcia Serrano dakika ya 67, wakati la Swansea lilifunvgwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 93 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment