Adam Lallana akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na James Milner kwa penalti mawili dakika ya 30 na 71, Sadio Mane dakika ya 36 na Philippe Coutinho dakika ya 52, wakati bao pekee la Hull lilifungwa na David Meyler dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment