• HABARI MPYA

  Thursday, September 22, 2016

  MESSI AUMIA TENA BARCELONA IKILAZIMISHWA SARE CAMP NOU 1-1

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akiondoka uwanjani baada ya kuumia timu yake ikilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga usiku huu. Ivan Rakitic alianza kuifungia Barca dakika ya 41, kabla ya Angel Correa kuisawazishia Atletico dakika ya 61. Barcelona imesema Messi atakuwa nje kwa wiki tatu kufutia kuumia nyonga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AUMIA TENA BARCELONA IKILAZIMISHWA SARE CAMP NOU 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top