• HABARI MPYA

  Thursday, September 22, 2016

  BALOTELLI AENDELEA KUCHEKA NA NYAVU UFARANSA, APIGA MBILI NICE YAIUA 4-0 MONACO

  Mario Balotelli akiifungia Nice bao la pili dakika ya 30 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco kwenye Ligi ya Ufaransa Jumatano Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Balotelli alifunga pia bao la tatu dakika ya 68, wakati mebao mengine yalifungwa na Paul Baysse NA Alassane Plea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AENDELEA KUCHEKA NA NYAVU UFARANSA, APIGA MBILI NICE YAIUA 4-0 MONACO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top